Ston Merchant
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 393
- 105
Hawana dola
Kuna tatzo ninalo pata hpa.....!!!!! Ni kwann CDM haina TV Channel yke jst lyk CCM na TBC. Au kuna vizuizi
kwenye swala hlo?
Nawakilisha.[/QUOTE]
unamwakilisha nani?
Kuna tatzo ninalo pata hpa.....!!!!! Ni kwann CDM haina TV Channel yke jst lyk CCM na TBC. Au kuna vizuizi
kwenye swala hlo?
Nawakilisha.
sio tv 2 kuna umuhimu pia wa kua na gazeti na redio rasmi ya chama hili nilakueanyia kazi mapema kwan muda n ss elimu ya uraia inahtajiki ili kukabiliana na propoganda chafu za magambaKwa mimi JF inanitosha saana,kwani hbr za chama tawala Chadema nazipata bila ubaguzi wala chenga....