Mkuu baada ya kuandika ujinga unategemea utakemewa ndo maana nusu ni mada nusu ni onyo kwa atakayesoma post yako. Mi nachukia kauli za uchochezi. Ikumbukwe Rukwa walioikashifu imani ya kikristo waliadhibiwa,juzi wachungaji wa Arusha waliodaiwa kukashifu uislam wameadhibiwa,na wewe unaleta kauli za kashfa,UTATU MTAKATIFU! Najiuliza asa kama una lengo jema iweje ulete utatu mtakatifu? Sichangii tena mada kama izi za kukashifu imani na kulinganisha utatu/ Holy Trinity,na viumbe alivoviumba Mungu mwenyewe. Nakushuku,safari njema ktk kuwagawa watz kwa imani zao,mi nashuka hapa mkuu!!!