GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
hoja yako ni dhaifu.kwani migomo husababishwa na cdm? houni matatizo yanayowakumba wanafunzi wa vyuo? umesoma chuo kikuu wewe? hali kwa kweli ni mbaya. wanafunzi wanagoma ni kwa sababu ya matatizo yanayowakabili.lakini pia ahadi hewa wanazopewa na serikali ya ccm.mfano ni ahadi ya waziri mkuu Pinda mwanzoni mwa mwaka huu kuwa serikali itawapatia laptop wanafunzi wa udom.ccm hutenda baada ya wananchi kugoma.madenti wametambua hilo ndo maana wanafanya hivyo.siku nyingine ntakufundisha 'crisis management skills' ili utambue kuwa kufukuzwa kwa wanafunzi ni kawaida na pia hurudishwa na kuendelea na masomo.u must pay to make changes.dont be afraid.
Una uhakika gani ndo CDM ilisababisha mgomo,hivi kweli unaelewa matatizo yanayowakabili wanachuo,sababu za kugoma au au mnakuja tu namawazo na hoja nyepesi eti wapinzani hasa cdm ndo wanasababisha migomo!Njooooni na hoja yenye maana acheni hizi pumba hazina maana
Wewe Malaria Sugu
alias Geneusbrain, Kweli akili za shule huna, hata za kuzaliwa nazo unakosa! Hivi wanachogomea wanafunzi wa UDOM, hali bora ya masomo, ni nani anayepaswa kuwapa kama si Serikali ya Magamba! Kwa Serikali ya Magamba kushindwa kutekeleza uongo wao waliouita Ilani ya Uchaguzi mpaka kupelekea Wanafunzi kugoma, ni nani aliyewashawishi wanafunzi wagome kama si Magamba! Wawape haki zao kama watagoma!
Hivi wewe una akili kweli? Unadhani wanafunzi wa vyuo vikuu ni kama wale wa chekechea kwamba unaweza kuwadanganya kwa pipi? Hao wanafunzi hawakushawishiwa na CHADEMA ili wagome ila ahadi hewa za serikali ya magamba ndiyo zilizopelekea wao wenyewe wagome kwa kuishinikiza iwatekelezee ahadi zao. Vipi unauliza eti CDM mtawasaidiaje, sisi ndo wenye serikali? Bajeti ya matumizi ya serikali inapangwa na CDM? Usirudie tena kuuliza swali hilo la sivyo ntajua wazi kwamba wewe unawaza kwa kutumia makalio yako badala ya ubongo!Duh kweli wana Magwanda kama akili zenu wote ni hivi nchi hii imelaaniwa kwa kukosa wapinzani makini. Hujajibu hoja , unaruka ruka tu, nimekuuliza mtawasaidiaje sasa wako huku mtaani ? Lema kila siku usiku yuko UDOM alikuwa anafuata nn pale ? hivi vitu viko wazi , msiruke wenzenu wanateseka huku
Nimeshangazwa sana na CDM a.k.a MAGWANDA kwa kupalilia mkaa wa moto, na ukiisha waka wao wanakimbia bila ya kuuzima. Wao ndio waliowashawishi wanafunzi wa UDOM kugoma baada ya Lema kuwajaza ujinga. Sasa wanafunzi hao chuo chao kimefungwa na wameambiwa waondoke chuoni. Ni hali yakusikitisha wamezagaa tu huku mitaani na wengine wa kike wakijiuza ili wakidhi mahitaji yao. Sasa wana Magwanda mnawasaidiaje sasa hawa , nyie si ndio mliwajaza ujinga? Au mmeisha timiza lengo lenu la kijitafutia umaarufu wa kisiasa wao hamuwahitaji tena ?. Watafuteni muwasaidie sasa kama uwezo huo mnao

Na ww hujajibu hoja , jibu mnawasaidiaje nyie wana Magwanda? Lema alikuwa anaonekana kila siku usiku pale UDOM alikuwa anafuata nn ? vitu viko wazi nyie ndio mnawachochea , sasa mtawasaidiaje ? Jibu sasa