CDM kuteleza sio kuanguka, Zitto Kabwe atosha!

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Ingawa mlimfanyia unyama wakati ule, lakini anaweza kuwasamehe mkimuomba Radhi. Hakika Zitto Zuberi Kabwe atosha sana kwa nafasi ya Katibu Mkuu CDM ambayo mnamaliza mwaka sasa bila kuijaza. Ukweli nin kwamba hakuna mwenye uzoefu huko wa kushika nafasi nyeti kama hiyo. Plan B ni kumuomba radhi Dr Slaa naye ni binadamu anaweza kuwasamehe pia. Muite Press Conference na kuwaambia wananchi kwamba;-
1. Mlikosa mbele ya mbingu na mbele ya wananchi kumchafua Lowassa kwa miaka 8 huku mkimsafisha tena wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015.
2. Mlikosea sana mbele ya mbingu na wananchi kumfanyia uhuni Dr Slaa wakati ametoa mchango mkubwa kwenye Chama ambao hautasahaulika.
3. Kwamba mnawaomba radhi Zitto,Mwigamba na Professa Kitila Mkumbo kwa kuwachafua na kuwatungia uwongo ili wafukuzwe CDM kwa maslahi ya watu Fulani.
Hilo mkilitekeleza basi mtajaza nafasi ya Katibu Mkuu muda si mrefu
 
Naona upo kwa kazi maalum
 
Hilo haliwezekani milele kwa CHADEMA, pia hata kwa hao unaodhani wanaweza kukubali kuombwa radhi kirahisi kwa press conference hawawezi kukubali. Kinachotakiwa ni CHADEMA kuhakikisha wanatafuta Katibu Mkuu kwa njia huru na haki, watu wenye uwezo wapo wengi kama watahakikishia process ya uchaguzi itakuwa huru na haki, pia hapatakuwepo responsibilities overriding kati ya Ofisi ya Mwenyekeiti na Katibu
 
UCHAGUZI WA HAKI CDM? THUBUTUUUUUU! MBONA MGOMBEA WA URAIS HAKUCHUJWA WALA KUSHINDANISHWA NA MTU! DEMOKRASIA WANAYO WENZETU CCM TU!
 
CHADEMA hawajawahi kumkosea Zitto wala Mwigamba wala Mkumbo. Wao walichukua risk kubwa kuanzisha chama chao ndani ya CHADEMA yaani kutaka kupindua uongozi uliopo wamweke Zitto. Wangefanikiwa leo wangekuwa ndio wanaoongoza CHADEMA. Lakini ukichukua risk kubwa kama hiyo ukishindwa unangooka. Na kama CHADEMA ingekuwa ni serikali kosa hilo ni uhaini na adhabu ya uhaini inafahamika. Labda hao kina Zitto ndio waombe msamaha na sidhani kama watasamehewa hata kama wangepiga magoti kiasi gani. Kuhusu Dr. Slaa pia CHADEMA hawakumkosea moja kwa moja. Ni kwamba CHADEMA waliamua kufuata mkondo tofauti na misingi iliyoanzisha hiyo CHADEMA yenyewe na yeye Dr Slaa akaona hawezi kuendelea kukaa chama ambacho kimekiuka misingi yake. Dr. Slaa labda anaweza kurudi CHADEMA lakini kwanza ni lazima EDWARD LOWASSA AFUKUZWE kwanza aondoke CHADEMA.

Ingawa mlimfanyia unyama wakati ule, lakini anaweza kuwasamehe mkimuomba Radhi. Hakika Zitto Zuberi Kabwe atosha sana kwa nafasi ya Katibu Mkuu CDM ambayo mnamaliza mwaka sasa bila kuijaza. Ukweli nin kwamba hakuna mwenye uzoefu huko wa kushika nafasi nyeti kama hiyo. Plan B ni kumuomba radhi Dr Slaa naye ni binadamu anaweza kuwasamehe pia. Muite Press Conference na kuwaambia wananchi kwamba;-
1. Mlikosa mbele ya mbingu na mbele ya wananchi kumchafua Lowassa kwa miaka 8 huku mkimsafisha tena wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015.
2. Mlikosea sana mbele ya mbingu na wananchi kumfanyia uhuni Dr Slaa wakati ametoa mchango mkubwa kwenye Chama ambao hautasahaulika.
3. Kwamba mnawaomba radhi Zitto,Mwigamba na Professa Kitila Mkumbo kwa kuwachafua na kuwatungia uwongo ili wafukuzwe CDM kwa maslahi ya watu Fulani.
Hilo mkilitekeleza basi mtajaza nafasi ya Katibu Mkuu muda si mrefu
 
CHADEMA hawajawahi kumkosea Zitto wala Mwigamba wala Mkumbo. Wao walichukua risk kubwa kuanzisha chama chao ndani ya CHADEMA yaani kutaka kupindua uongozi uliopo wamweke Zitto. Wangefanikiwa leo wangekuwa ndio wanaoongoza CHADEMA. Lakini ukichukua risk kubwa kama hiyo ukishindwa unangooka. Na kama CHADEMA ingekuwa ni serikali kosa hilo ni uhaini na adhabu ya uhaini inafahamika. Labda hao kina Zitto ndio waombe msamaha na sidhani kama watasamehewa hata kama wangepiga magoti kiasi gani. Kuhusu Dr. Slaa pia CHADEMA hawakumkosea moja kwa moja. Ni kwamba CHADEMA waliamua kufuata mkondo tofauti na misingi iliyoanzisha hiyo CHADEMA yenyewe na yeye Dr Slaa akaona hawezi kuendelea kukaa chama ambacho kimekiuka misingi yake. Dr. Slaa labda anaweza kurudi CHADEMA lakini kwanza ni lazima EDWARD LOWASSA AFUKUZWE kwanza aondoke CHADEMA.
Mapinduzi uwa yanafanyika kwenye dola siyo kwenye vyama vya siasa.
 
Back
Top Bottom