Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Ingawa mlimfanyia unyama wakati ule, lakini anaweza kuwasamehe mkimuomba Radhi. Hakika Zitto Zuberi Kabwe atosha sana kwa nafasi ya Katibu Mkuu CDM ambayo mnamaliza mwaka sasa bila kuijaza. Ukweli nin kwamba hakuna mwenye uzoefu huko wa kushika nafasi nyeti kama hiyo. Plan B ni kumuomba radhi Dr Slaa naye ni binadamu anaweza kuwasamehe pia. Muite Press Conference na kuwaambia wananchi kwamba;-
1. Mlikosa mbele ya mbingu na mbele ya wananchi kumchafua Lowassa kwa miaka 8 huku mkimsafisha tena wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015.
2. Mlikosea sana mbele ya mbingu na wananchi kumfanyia uhuni Dr Slaa wakati ametoa mchango mkubwa kwenye Chama ambao hautasahaulika.
3. Kwamba mnawaomba radhi Zitto,Mwigamba na Professa Kitila Mkumbo kwa kuwachafua na kuwatungia uwongo ili wafukuzwe CDM kwa maslahi ya watu Fulani.
Hilo mkilitekeleza basi mtajaza nafasi ya Katibu Mkuu muda si mrefu.