CDF Mkunda ajiandae kusota kama sheitwan atashinda

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,001
Reaction score
13,532
1761965575861.png

Inaonekana Jacob Mkunda hamjui Kikwete wala Samuya. Kwa wanajeshi kuonekana na wananchi, kama ataingizwa choo ya kike, ajue atalipiza kwa vile mashetani anayocheza nayo hayana huruma wala ubinadamu. Najisemea. Onyo kwake. Jiandae. Baada ya kuwaokoa, watakuoka kama mkate na usaharike. Kama una muda, soma historia ya wale waliomuokea Moi.
 
View attachment 3496376

Sidhani hata kama haya unayombia atakuelewa, kwa jinsi anavyoonekana ni sisi ndio ambao tunampaisha, hana mwinekano wowote kama ni mjeshi hasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom