USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,718
- 27,812
Mh.Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM CDE Samira Khalfan Amour amejenga uwanja mpya wa mpira wa pete biharamulo katika kuunga mkono kazi ya kukuza michezo mkoa wa kagera kama ilivyotafsiliwa katika ilani ya CCM 2020-2025.
CDE Samira Khalfan Amour ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa wafanya biashara wilaya ya biharamulo pia ni mchezaji bingwa wa mchezo huo , alitamba sana wakati akiwa shule ya sekondari kagango na vyuoni lakini hadi leo anacheza sana mpiwa wa pete
Uwanja huu imara na wakisasa unakusudiwa kuinua mcheoz huo wilayani biharamulo na mkoa mzima wa kagera .
CDE Samira ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya uchumi na fedha ya UWT taifa nawakaribisha wanamichezo mbalimbali wa mchezo wa pete waje wajenge afya kwa kucheza katika uwanja huu wa kisasa