Ingekuwa hivi basi watu na wasingekiwa wanakuja hapa...kwa taarifa yako hapa kuna watu wa kila kada...hivyo ujumbe utafika tena vzr mnooo!.CDA wana thread humu? Ungemwandikia DG au umpigie simu
Una undugu na Yesu?Wakati fulani kukaa kimya ni kipimo cha hekima....
CDA....ni mwiba...wanadhani bado hizi ni zama za 1990.....Ni wazembe mno...Hao CDA ni jipu linalofaa kutumbuliwa ...mh Raisi alishapata habari zao Mh Lukuvi akawatetea. Binafsi ni mhanga, wakati zoezi la kuhamia Dom linatangazwa nilikuwa na vijisenti nikaenda kununua plot kwa mtu sasa shughuli ilianza kwenye kurasimisha ununuaji na kupata vibali vya ujenzi, kama unaroho nyepesi bora kuaacha tu, ukatafute uwekezaji mkoa mwingine.
bila demand note hao jamaa mmmh!!Inakuwaje faili la plot ya mtu halionekani kwa zaidi ya mwezi sasa? Nimenunua kiwanja kwa mtu,, tumekamilisha vigezo vyote...mwisho mnanitaka kuleta picha 6 za aliye niuzia Kiwanja......naleta picha na hapo ndo black bla zinaanza, faili halionekani na kila Siku njoo kesho njoo Kesho bila kujua gharama ninazotumia kuja hapo Ddoma...
Naomba litazameni hili vyema na hasa idara ya masijala...natarajia kurudi tens hapo kwenu mwisho wa wiki hii ili kujua hatma ya plot hii No: 1- - 9 iliyopo Kikuyu Kaskazini, block Z.
NINGEFURAHI TUNGEKUWA WOTE.HALAFU UKITAKA HUDUMA IENDE FASTA NENDA NA FULL UMALKIA IKIGOMA HIYO NENDA KWA DEMAND NOTE UONE KAMA HUJAPEWA UNACHO KIHITAJI NA ZAIDI YA UNACHO KIHITAJIKESHO nawaendea kivingine.....
mkuu njoo pm tubadilishane uzowefu ukienda kesho full kupata haki yakoInakuwaje faili la plot ya mtu halionekani kwa zaidi ya mwezi sasa? Nimenunua kiwanja kwa mtu,, tumekamilisha vigezo vyote...mwisho mnanitaka kuleta picha 6 za aliye niuzia Kiwanja......naleta picha na hapo ndo black bla zinaanza, faili halionekani na kila Siku njoo kesho njoo Kesho bila kujua gharama ninazotumia kuja hapo Ddoma...
Naomba litazameni hili vyema na hasa idara ya masijala...natarajia kurudi tens hapo kwenu mwisho wa wiki hii ili kujua hatma ya plot hii No: 1- - 9 iliyopo Kikuyu Kaskazini, block Z.
ILA SIO KWA HII THREAD.Wakati fulani kukaa kimya ni kipimo cha hekima....
we jamaa ni wale wale wa" UZOROTESHAJI"nini?WAKIMALIZA KAZI ZOTE NDANI YA SIKU MOJA WATAISHIJE MJINI? HIZO NI MBINU ZA WAO KUENDELEA KUISHI MJINI BANA.
TATIZO URASIMU KWENYE UPATIKANAJI WA VIWANJA VYENYEWE, ILE NI MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU LAKINI BAADHI YENU MMEIFANYA "MAMULAKA YA UZOROTESHAJI" MMBADILIKEUshauri: msitumie vishoka kupata viwanja. Wengi waliotumia vishoka wameishia either kuuziwa viwanja hewa, au kuibukia kwenye double allocation.