Hivi, tokea UKIMWI uanze ile miaka ya 80's. mpaka hii leo hakuna matokeo yanayoridhisha ya utafiti wa tiba au hili gonjwa au ndo lishakuwa la kiuchumi na kibiashara zaidi?
Kwa muda mrefu sasa, taarifa za utafiti wa kisayansi ambazo zinaendelea kutumia mabiliono ya fedha za umma zinaoekana kana kwamba hazina uhakika kamili na matokeo ya tafiti japo sehemu nyingine, wapo wataalamu wanaothibitisha kuwepo kwa dawa za kuponya kabisa au kurekebisha "masumbufu" ya kiafya ya ili gonjwa hatari kwa jamii.