Kuna mahitaji makubwa ya CCTV katika majengo ya biashara na majumbani. Hapa apatikane mtu ambaye yuko serious afanye biashara. Watu wanataka bei ili wajipime kama wanamudu kutumia teknolojia hii. Sasa watu wanafanya biashara kwa siri utafikiri wanatongoza mwanamke. Kama bei zako ni halali, hutasita kuweka bei zako hapa. Naona ni yaleyale ya wachora ramani.