ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,761
- 5,810
Ndo maswahiba na role model wao.
Umesahau kingine Rushwa.
Kujiongezea muda wa kukaa madarakani kama Shi ji pingNaona Kama CCM inafuata mfumo wa kikomunist unaotumiwa na china. Kuna vitu vingi vinashahabiana Kama vifuatavo
1. Information and media Control
2. Lack of Freedom of speech
3. Loyalty of its members
4. Influence katika biashara za matajiri
5. Poor or no democracy
6.Jeshi, police belongs to the part not the government
7.not allowed to criticize the government
Na nyingine nyingi, nisaidieni
Sana. Bend channel zinazoitwa NTD news, WION, china uncencersored, utapata udambwi dambwi na umafia wa Chinese Communist part, wazee wa totaliarinismKujiongezea muda wa kukaa madarakani kama Shi ji ping
Huyu wanamuita mwenyekiti , mkata umeme anamiliki jeshi la chinaKujiongezea muda wa kukaa madarakani kama Shi ji ping
Wachina wenyewe wenye China yao wanakwambia wao sio developed country, wewe baboon unasema China is a developed country. What a nonsense!No freedom of speech, democracy and media control and yet u are here vomiting nonsense. Jf sio media, je ina operate ikiwa nje ya nchi?
Wekeni vipimo vyenu na mjiaminishe mnaona inafaa ila mwisho wa siku mfumo wowote wa utawala utapimwa kwa jinsi ulivoleta maendeleo kwa taifa husika na as we speak China(madkteta) ni developed na giant kuliko India(biggest democracy)
Miungu watuNyingine
Kuabudiwa