Hii habari sikuiona popote ila ndani ya Jamii Forums tu na wengi tulikanusha.
Inaelekea kila kitu kiandikwacho humu hata kwa Jokes kitaaminika.
Katika ile taarifa kulikuwa na mabasi ya Shabiby yaliyokodiwa kuwabeba kuruta toka Dodoma hadi CCP katika kuulizia hata wenye Mabasi ya Shabiby walikanusha kufanya biashara hiyo na km utapeli ni nani angekubali kumsamehe RPC au huyo Tapeli aliyewapakia vijana
Angalia Taarifa zote si za kweli ni za kujaza Thread

Kutokujua kwako uwepo wa jambo haimaanishi kuwa jambo hilo halipo, laiti kama ungekutana personally na wahanga wa tukio lile badala ya ku judge taarifa za mtandaoni usingeandika ulichokiandika
Ccp nimefika juz kati dah ata aj kuruta waliopo cdhani kama wametimiza viwango,coz urefu hakuna ni kama mimi t,then kuna kuruta mmoja nilimwna nadhan ameenda kupunguza unene coz ni mnene hadi kupga hatua ni shda alieko ccp ataniambia hili,nlikuepo cku ile walipokua wanapima damu pale hospitalini kwao ha ha ha
Kutokujua kwako uwepo wa jambo haimaanishi kuwa jambo hilo halipo, laiti kama ungekutana personally na wahanga wa tukio lile badala ya ku judge taarifa za mtandaoni usingeandika ulichokiandika
Nadhani adui mkubwa wa wa-TZ ukiachana na CCM, itakuwa ni Media - au kwa lugha yetu - vyombo vya habari;Itakumbukwa kuwa CCP Moshi walipokea tuite makuruta ambao hawakustahili kupokelewa na matokeo yake wakarudishwa. Je hili kashfa iliishia wapi au ndio Bongo piga kelele baada ya siku tatu kimya. Katika nchi yoyote hili ilikuwa kashfa kubwa kiasi kwamba viongozi wa juu wa jeshi la Polisi walistahili kujiuzulu. Hivi katika Tanganyika ni swala gani/kashfa ambalo linatakiwa mhusika kuwajibishwa/kuwajibika.
Hii habari sikuiona popote ila ndani ya Jamii Forums tu na wengi tulikanusha.
Inaelekea kila kitu kiandikwacho humu hata kwa Jokes kitaaminika.
Katika ile taarifa kulikuwa na mabasi ya Shabiby yaliyokodiwa kuwabeba kuruta toka Dodoma hadi CCP katika kuulizia hata wenye Mabasi ya Shabiby walikanusha kufanya biashara hiyo na km utapeli ni nani angekubali kumsamehe RPC au huyo Tapeli aliyewapakia vijana
Angalia Taarifa zote si za kweli ni za kujaza Thread
halafu hata clouds fm lilijadiliwa sana sema hana kawaida ya kusoma magazeti na au kusikiliza redio,power breafast ilijadiliwa pia na hando kwa kina.Kutokujua kwako uwepo wa jambo haimaanishi kuwa jambo hilo halipo, laiti kama ungekutana personally na wahanga wa tukio lile badala ya ku judge taarifa za mtandaoni usingeandika ulichokiandika
Itakumbukwa kuwa CCP Moshi walipokea tuite makuruta ambao hawakustahili kupokelewa na matokeo yake wakarudishwa. Je hili kashfa iliishia wapi au ndio Bongo piga kelele baada ya siku tatu kimya. Katika nchi yoyote hili ilikuwa kashfa kubwa kiasi kwamba viongozi wa juu wa jeshi la Polisi walistahili kujiuzulu. Hivi katika Tanganyika ni swala gani/kashfa ambalo linatakiwa mhusika kuwajibishwa/kuwajibika.