CCM yazidi kung'ara kwa wananchi


Kwa maneno mengine watangulizi walikuwa wamekifubaza mno, na ndio haohao mlikuwa mnawaimbia nyimbo za " MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, au watanzania hatukuwa na nguvu maana tuliambiwa" MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE."
 
Ka Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
 

nabii tito
 
Mbona hujaweka namba ya simu wewe Nguruwe? Maana umesema ni maneno ya watu sio yako. Kwa maana hiyo wewe sio mtu!
 
Realy? basi sawa...hongereni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…