Wananchi wa kabila la Wahadzabe, jamii ya asili yenye historia ya kipekee, wameonekana katika viwanja vya Madani wilayani Karatu mkoa wa Arusha wakiwa wamevalia sare za CCM na kuimba nyimbo za asili.
Hivi hawa, serikali ya CCM haijauza ardhi yao kweli kwa waarabu?
--
Your browser is not able to display this video.
Sema CCM wakorogaji sana, kuwatoa Waadzabe porini na kuwavalisha sare za Chama kwenye mkutano uliofanyika Karatu ni kuwakosea waadzabe heshima na unyanyasaji wa tamaduni, pia CCM inavuruga haki za jamii kwa maslahi yao ya kisiasa.
Aidha, wanaweza kusababisha migogoro ya kijamii na kisiasa, pamoja na kupunguza umaarufu na hadhi ya waadzabe kwa kuwalazimisha kuwa upande wao.
Tuwaache Waadzabe na maisha yao ya asili, tuwape elimu ya mpiga kura ili Oktoba 29 watimize wajibu wao wa kikatiba.

HAkuna uchaguzi ambao ccm wataweka records kutumia pesa ndefu kwenye kampeni kama huu, ajabu ni kwamba hawana mshindani!!.
Tafsiri yake MAMA hauziki kwa raia hasa wa chini hivyo propaganda ni za kiwango cha 5g!!.