CCM yavuna wanachama wa CHADEMA Kilombero

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
Na Mwandishi Wetu

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro Ndg Innocent Kalogeresi amefunga mafunzo ya vijana ya wilaya ya Kilombero na kisha kupokea wanachama wapya 20 viongozi wa CHADEMA kata ya Sanje, jimbo la Kilombero 03, Disemba 2019.

Mwenyekiti huyo ametamba kuwa hakuhitajiki ramli, ubashiri wala unabii kuwa majimbo yaliyokwenda upinzani mkoa wa Morogoro yatarejea mikononi mwa CCM kwani kazi inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli inawaridhisha wananchi walio wengi.

Katika ziara hiyo mwenyekiti huyo wa mkoa aliambatana na katibu wa CCM mkoa huo Ndugu Shaka Hamdu Shaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mavi magumu wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosa cha kuandika maana hiyo siyo habari maana habari kwa sasa ni binadamu kumuuma mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…