CCM yauteka umma katika uzinduzi wa kampeni Uzini

pamoja na kuleta watu kutoka kila pembe ya zanzibar kwa mafuso watu ndo hao basi ccm hawana chao. miaka 30 ya ccm mnajivunia huo umati halafu mnalinganisha na wenye miaka 10!?, kweli ccm si lolote si chochote.
 
Mbona inavyoonekana mchuano mkali ni kati ya ccm na cdm?!!cuf si ndiyo chama kikuu cha upinzani Zanzibar,imekuwa vipi tena?
 
Hawa wanatoka au waningia maana wanaonyesha kama wamefiwa vile. Uhakika wao upo mashakani
Mliwatukana waunguja sasa mnakwenda kuwalaghai mtaliwa huku mnajiona mchana kweupee
 
Hawa wanatoka au waningia maana wanaonyesha kama wamefiwa vile. Uhakika wao upo mashakani
Mliwatukana waunguja sasa mnakwenda kuwalaghai mtaliwa huku mnajiona mchana kweupee
 
Kha jamani.. nemistuka kweli.. we rais wa Migomo umetuletea kichwa cha habari chenye mstuko.. UZINI?? ah kumbe ni jina la pahala kule zanziberi.. aisee.. majina mengine haya yanashtua.. wasilimishe mengine mapya.. mambo ya uzini, uzinzi, kuzini yanafananafanana ashkhum yabadilishwe manake kishwahili ni chetu wenyewe embu kisituchakachue mbele yetu ivi ivi.. majina magumu magumu tuwaachie wajapan peke yao...
 
asante kwa taarifa mkuu
vipi malori ya kusombea watu yalikuwa mangapi safari hii
 
Watu ni wengi kweli, kipita wale wa CDM.

Yaani siasa za Znz nazo Cdm wameanza kuwateka wazanzibar mpaka sasa kauli zimekua za kulinganisha watu walioudhuria c.c.m vs Cdm?kweli naona dalili za mabadiliko kwa watanzania wote bara na visiwani!hii hali haikuwepo kabisa miaka ya nyuma kwa cdm znz!ndugu zangu cuf vipi nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…