CCM yatoa tamko kuhusu uchaguzi Zanzibar

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Zanzibar.jpg
 
matapeli na mapedeshee wa kisiasa hawaishi vioja yaani kura 48,000 ndio kishindo mtu hajazidi asilimia 11 % CCM aibu munajidanganya wenyewe dunia inajua wananchi wazanzibar wamewakataa mchana peupe Sheini hata wana CCM wenzake wamemkataa yeye kabaki kibaraka wa koloni la Tanganyika
 
Hawa watu wanachekesha sana.

Kwani huyu Shein amegombea kupitia chama gani?

Ccm walitakiwa kupongezwa na vyama vingine au mtu mwingine nje ya ccm.
 
matapeli na mapedeshee wa kisiasa hawaishi vioja yaani kura 48,000 ndio kishindo mtu hajazidi asilimia 11 % CCM aibu munajidanganya wenyewe dunia inajua wananchi wazanzibar wamewakataa mchana peupe Sheini hata wana CCM wenzake wamemkataa yeye kabaki kibaraka wa koloni la Tanganyika
Bora abaki koloni la Tanganyika baada ya kumwaga damu ya Wazanzibari kumwondoa Sultani. Wataka mrudishe Izbu!!!!
 
hivi mbowe alipata division ngapi vile?
OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
KAATAMIA IHUNGO; MET WANGU , ALIKUWA KILAZA
SIJAPATA KUONA MIAKA YETU KILAZA MCHAGA KAMA YY
 
matapeli na mapedeshee wa kisiasa hawaishi vioja yaani kura 48,000 ndio kishindo mtu hajazidi asilimia 11 % CCM aibu munajidanganya wenyewe dunia inajua wananchi wazanzibar wamewakataa mchana peupe Sheini hata wana CCM wenzake wamemkataa yeye kabaki kibaraka wa koloni la Tanganyika

Tatizo la kufichama Ukisikilizia matokeo kwenye TV huwezi kuwa na data sahihi. Wenzenu walioshiriki Uchaguzi hizi ndio data zao na wameweka saini zao

matokeo.jpg
 
Sendeka amebaki kuandika Barua za kupongeza wenzake kushinda kwa goli la...... huku yeye akibaki kuwa mwananzego anaeisoma nambaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom