Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Ishara mbaya kwa makamanda!Haya ni matokeo tuliyakusanya chadema, bado hayajathibitishwa na kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi.
1.Mathew Suleiman Luwongo(ccm) - 1198
2.Isaya Mwita Charles(Chadema) - 802
3.Ali Juma Ali(cuf) - 731
Sehemu yenyewe kigamboni bado ni matokeo mazuri sana chademaIshara mbaya kwa makamanda!
si mbaya sana, but kigamboni wanahitaji kukombolewa hakika!haya ni matokeo tuliyakusanya chadema, bado hayajathibitishwa na kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi.
1.mathew suleiman luwongo(ccm) - 1198
2.isaya mwita charles(chadema) - 802
3.ali juma ali(cuf) - 731
Viongozi wa kigamboni tumewapa kazi ya kufanya tathmini ya kisayansi kubaini sababu za kushindwa.
Lakini niwakumbushe kwamba uchaguzi mkuu uliopita hatukuwa na mgombea na cuf ndio walishinda. Kwetu sisi na hatua kubwa sana kuwa washindi wa pili.
Ila mlungula umemwagwa vijibweni sijawahi kuona. Jamaa wamenunua kura kama kawaida, hapo wasitegemee maendeleo yoyote!!
si mbaya sana, but kigamboni wanahitaji kukombolewa hakika!
Ukijumlisha kura za cdm na cuf, ccm haitakiwi kuwepo madarakani!
dar mnatuangusha sana mtakuwa wa mwisho kwenye vita ya mageuzi haya !
Hongerani ccm