Nimeambiwa udiwani kata ya Lagangabilili-Bariadi CCM wameibuka kidedea dhidi ya UDP : Chadema hilo ni jimbo la kufuatilia maana John Cheyo kwishney kama upinzani mkiendelea kumwachia jimbo linarudi CCM 2015 mzee mapesa choka mbaya, magamc wamemmaliza amebaki kujikomba kwao