Habari zinazoendelea kuvuja kutoka ndani ya kikao kilichoketi Jumatatu hii na kuhusisha marais wastaafu Mh.Mwinyi, Mh. A. Karume, rais wa Zanzibar Dr. Shein, Balozi Seif na Maalim Seif, zinasema chama cha Mapinduzi Zanzibar kimekubali kuachia madaraka.
"kilichobaki ni kustahimili kushirikiana na CUF kuunda serikali ya umoja wa kitaifa" alisema mmoja wa wawakilishi kutoka CCM.
Habari zaidi kutoka CCM Lumumba zinasema "hatuwezi kuendelea kupigania kitu ambacho kimeshatutoka. Haya tuache tusonge mbele, kwani dunia nzima inatushangaa."
Habari yako inapingana na habari iliyopo kwenye gazeti la serikali,acha uongo lete habari za kueleweka JF inaheshimika zaidi ya vyombo vyote vya habari unavovijua wewe.
Wewe falla umeshazoea kusoma magazeti yenu ya Lumumba na habari zenu za kufurahishana pasipo kuelezana ukweli.
Habari ndio hiyo,Zanzibar inakwenda kuwa chini ya CUF,huku bara subirieni balaa letu 2020.

Kumbe Mawio nayo ina wasomaji!!Maajabu...