CCM yapendekeza Samia urais hadi 2035

Huu ndo muhula wa kwanza make ule alikuwa anamalizia wa Magufuli
 
Una uhakika gani Samia kama atakuwa hai hadi huo mwaka 2035!?, maana ww siyo Mungu ujue!!.
ni vikao vya CCM ndiyo viliamua tena nasikia nilivyafanya uamuzi huo mwaka 2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…