CCM yapata mgombea Arusha Sombetini

CCM yapata mgombea Arusha Sombetini

Mkya

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
667
Reaction score
94
Ccm imemteua ndugu khamisi Dello kuwa mgombea nafasi ya udiwani kata hiyo kazi hiii imefanywa na halmashaur ya mkoa

Kampeni zinazinduliwa tar 15:9:2014
 
Huyu jamaa naona amewapa masharti kuwa hana ela so ela itakayotumika ni chama ndo itatoa coz akipigwa mwereka hakuna atakaempa mtaji.
 
Hahahahaha,khamis atajuta kuchukua form,wapi kamanda mawazo?
 
Ccm waendelee tu na kapeni zao za giza to giza ili kuhalalisha matumizi ya fedha ila kata hyo inakwenda cdm,natamani kamanda mawazo ndiyo apewe nafasi ya kupeperusha bendera ya chadema ndani ya kata yake ya zamani japo we need him huko aliko now maana kazi anayoifanya kanda ya ziwa ni kubwa zaidi ya kazi ya udiwani
 
Huyu jamaa naona amewapa masharti kuwa hana ela so ela itakayotumika ni chama ndo itatoa coz akipigwa mwereka hakuna atakaempa mtaji.

Wamegombea wengi sana kapita kwa bahati sana
 
Ccm imemteua ndugu khamisi Dello kuwa mgombea nafasi ya udiwani kata hiyo kazi hiii imefanywa na halmashaur ya mkoa

Kampeni zinazinduliwa tar 15:9:2014

hapo kwenye blue sijaelewa mkuu, hebu thibitisha
 
Hahahahaha,khamis atajuta kuchukua form,wapi kamanda mawazo?

Mawazo lema hantaki Arusha alimchonganisha alipo kula pesa za m4c kujengea ghorofa njiro
 
Leteni profile ya mgombea wa ccm sombetini sio mkwewe wa lowassa kama yule wa arumeru alie shindana na nasari?
 
Ccm imemteua ndugu khamisi Dello kuwa mgombea nafasi ya udiwani kata hiyo kazi hiii imefanywa na halmashaur ya mkoa

Kampeni zinazinduliwa tar 15:9:2014
Tunashukuru kwa taarifa ila tarehe ipo sahihi kweli?huyu kalazimishwa au nihiyari yake mwenyewe? ukiweza tueleze kwa ufupi wasifu wake
 
Huyu jamaa ana roho ngumu sana, haogopi fedheha?, kugombea kupitia lichama ambalo wananchi hawalitaki?
 
Thubutuu!Huko ataenda kila kiongozi kuanzia mbowe,slaa,Lena,lisu,mawazo na kila unaemjua ana ushawishi!

....unajifariji kipigo cha Kimandolu, Themi, Elerai na Kaloleni Makamanda wa Arusha tulitosha!!!

Jomba isikie tu Arusha kwenye redio.....
 
Ccm waendelee tu na kapeni zao za giza to giza ili kuhalalisha matumizi ya fedha ila kata hyo inakwenda cdm,natamani kamanda mawazo ndiyo apewe nafasi ya kupeperusha bendera ya chadema ndani ya kata yake ya zamani japo we need him huko aliko now maana kazi anayoifanya kanda ya ziwa ni kubwa zaidi ya kazi ya udiwani

Mawazo unajitekenya mwenyewe nakucheka ha ha ha ha ha huwezi pewa hapa lema hakutaki Arusha tena tangu ulipomchonganisha na cc
 
Back
Top Bottom