CCM yamvua Uanachama Mzee Hassan Nassor Moyo

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
TAARIFA MUHIMU:

Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Magharibi Unguja kupitia kikao chake kilichomalizika muda huu Kimemvua Uanachama wa C.C.M Mzee HASSAN NASSOR MOYO na hivyo kuanzia sasa Mzee Moyo si mwanachama tena wa Chama Cha Mapinduzi.


Hassan Nassor Moyo

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.


Magazeti yalivyo andika leo 20-04-2015


Chanzo: Mwananchi
 

Mkuu kuna taarifa sahihi kwanini 'amevuliwa' uanachama?
 
​Ndio shughuli ya kuvua gamba imeanza au ni usanii kwa mtoa kauli asiye na woga?

Jifunzeni siasa...CCM hatumzungumzii tena Mansour wala hatutamzungumzia tena Mzee Moyo, enzi yao ndani ya CCM imekwisha..tulikuwa nao tukijenga Chama pamoja nao, tumethamini na kujali mchango wao hata leo ila kwa makosa ambayo KANUNI ziko wazi leo sio wanachama wenzetu ndani ya CCM lakini hawawi tena hoja kwetu.
 

Wamvue LOWASSA UANACHAMA Tuone......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…