Siasa za urais Hizo ......Rais Hatatoka kaskazini..,,.any potential candidate wanamwekea vikwazo.....
Sokoine ..Walimuuwa..
Msuya ....kura hazikutosha....
mrema ..,,wakamuwekea kigingi cha degree...
mramba ...mahakamani.....
Sumaye ...anapigwa vita
Lowassa anawekewaa zengwee
Chami wamemtosa uwaziri...hata hivyo U- Nec kapita bila kupingwa....
mwamry ..,,wamemlazimisha aondoe jina....
Unasema kweli mkuu?
kwa nini waing'ang'anie tena kwa gharama kubwa? think of itUjumbe wa NEC siyo ajira, haina mshahara. Ni kazi ya kujitolea.
Watajuana wenyewe na siasa zao za kizee, sio kumuuwa Sokoine tu, wakitaka wauane hata wote hakuna hasara, tushawachoka!!Siasa za urais Hizo ......Rais Hatatoka kaskazini..,,.any potential candidate wanamwekea vikwazo..... Sokoine ..Walimuuwa.. Msuya ....kura hazikutosha.... mrema ..,,wakamuwekea kigingi cha degree... mramba ...mahakamani..... Sumaye ...anapigwa vita Lowassa anawekewaa zengwee Chami wamemtosa uwaziri...hata hivyo U- Nec kapita bila kupingwa.... mwamry ..,,wamemlazimisha aondoe jina....
kwa nini waing'ang'anie tena kwa gharama kubwa? think of it
Itakuwa poa sana kama wilaya zingine zitafuata uamuzi wa kamati ya ccm wilaya ya Siha ya kuwaengua hasa wabunge kwenye kugombea nafasi za Nec!!