Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Amerudi kutoka alikotumwa kwenye matababu?
CCM yaongea kuhusu Mzee Kinana, 'amesharudi Tanzania akitokea kwenye matibabu na afya yake inaimarika, bado amepumzika'
Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi. Una swali lingine?Kwani kinana ni nani kwenye nchi hii
Halifichiki ndo asili yake..... Halifichiki!!!!Duuu haya naona kumekucha ? Baada ya kutumwa sijui India ,mara yupo under house of aresst, leo kapewa likizo
Halifichiki eeeh hakifichiki ..pembe la ng'ombe
CCM yaongea kuhusu Mzee Kinana, 'amesharudi Tanzania akitokea kwenye matibabu na afya yake inaimarika, bado amepumzika'
Kwani kinana ni nani kwenye nchi hii
Sasa mbona sizonje na bashite wanamdharauHuyo ni katibu mkuu wa chama tawala
Ndie mtu anayetakiwa kuhakikisha ilani ya chama tawala inatekelezwa ipasavyo
Kama tulivyoahidi kwa wananchi
Wakati wa kuomba ridhaa ya kuongoza dola
Ni mtu mkubwa mno tena sana
mange sio jeshi la mtu moja chanzo cha mange kupata habar ni zaid ya watu 100 wanaomtumia habari kila sikuMange Kimambi Kawashika CCM vibaya. Anawajambisha kweli kweli. Siyo kwenye ndege, siyo Kwa Bashite wala Kinana......Jeshi la mtu mmoja
Ndio tulitaka tupate taarifa wakati yuko India, sio mseme mmempa likizo, kwanini mtangaze likizo yake? Sisi inatuhusu nini au kuna mbadala nyuma yake?Tulitaka India sisi alikotumwa!!!!!
Hakuna anayeweza mdharau katibu mkuu wa chama tawalaSasa mbona sizonje na bashite wanamdharau