CCM yamgeuka msimamizi wa uchaguzi

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Makamba amesema chama chake hakistahili kutupiwa lawama kutokana na matokeo ya uchaguzi wa meya wa Arusha, kwani mchakato mzima wa uchaguzi huo ulisimamiwa na msimamizi ambaye ni mkurugenzi wa jiji la Arusha ambaye anaweza kujibu maswali yote yanayohusiana na mkanganyiko wa uchaguzi huo na si CCM.
 
Kumbe huyu mzee amechanganyikiwa,mbona alisema CCM imeshinda kihalali anaelalamika aende mahakamani? CCM Wamisha MCHAKACHUA TAYARI!
 
Back
Top Bottom