CCM yajiandaa kuwa upinzani

CCM yajiandaa kuwa upinzani

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Baada ya kushindwa Arumeru Mashariki(Ubunge),Kirumba (Udiwani) na kwingineko,Chama cha Mapinduzi chajiandaa kuwa chama cha upinzani.CCM si ile ya zamani.Haiaminiki.Haiwezi kushinda tena;iwe uchaguzi mdogo au mkuu.Vikao vinaendelea..
 
ccm ilishakufa mungu alipomchukua mwl nyerere sasa wamebakia wala rushwa na mafisadi
 
Naona imefika mahali watu wanachagua upinzani si kwamba ni bora sana lakini kwa kweli malengo ya uhuru ni kama yayajafikiwa, pia chama tawala kimejisahau sana. Eti mtu anasimama mbele ya umma na kusema tumeongeza posho kufikia laki mbili tu watu wanalalamika hivi wanayajua maisha halisi huku mtaani au hawapati takwimu sahihi? Hii ni hatari na inakoelekea ni kubaya mpaka sasa hakuna mwarobaini zaidi ya kurudi kwa wananchi ki2 ambacha kwa jinsi chama hiki kilivyolewa ni sawa na mfalme kuwapigia magoti wananchi. Ngoja 2one!
 
Mmmmh maumivu ya kichwa huanza pole pole.....................
 
walidhani masihara, habari ndio hiyo wajipange sawasawa mwisho rasmi unakuja.
 
Baada ya kushindwa Arumeru Mashariki(Ubunge),Kirumba (Udiwani) na kwingineko,Chama cha Mapinduzi chajiandaa kuwa chama cha upinzani.CCM si ile ya zamani.Haiaminiki.Haiwezi kushinda tena;iwe uchaguzi mdogo au mkuu.Vikao vinaendelea..

Chama kilicholeta Uhuru Zambia kiko mahututi kifedha......CCM wao wana bahati ya kuwa na vitega uchumi vingi. Wanahitaji kutumia muda uliobaki kijimilikisha uwanja mpya wa Taifa kabla ya uchaguzi 2015
 
E... bana hiyo nmeipenda kwa chama hk cha mafisad wanaweza kufanya hvyo .ccm die 4reva
 
Maumivu ya kichwa huaanza poole poole ...
 
Hiki chama ndio mwisho wake unakaribia kitakufa km KANU ya Kenya au kile cha Zambia ZANU pf
 
Naungana na waliotangulia naomba mtusaidie kuweka bayana takwimu sahihi za uchaguzi mana hata wakuu wamikoa wa jk mchemsho tupu %101.1 uliionawapi
 
Back
Top Bottom