CCM yaiweka mfukoni CHADEMA


Kwa sasa CCM kupambana na chadema ni kama mtu hai kupambana na mtu mfu,

Yan hata ww kada wa ccm kuja hapa na hoja za chadema ni kupoteza bando lako Tu

Chadema hawana kitu chochote,

Hawana diwani wala katibu wa Kaya

I think ccm mlitakiwa kupambana na maendeleo ya uhalisia kuliko maendeleo ya maandishi

Hakuna chama cha upinzani tanzania ila kuna baadhi ya watu flan ambao wanaongea mambo ambayo hayako sawa ya serikali
 
Ukiambiwa wewe ni mwanapropaganda wa ccm uwe unajielewa na acha tabia ya kuona wengine wana ufahamu mdogo juu ya unachokiandika. Hali halisi ya siasa nchini inajulikana na inaonekana, wananchi wana shauku na mabadiliko ya kisiasa na ccm wanalijua hilo na wanaogopa kuanguka anguko la aibu duniani, hivyo basi hufanya kila aina ya mbinu kubaki madarakani kila uchaguzi. Hebu ifanye uchaguzi wa haki na wazi uone kama itapata kura nyingi. Kwa kifupi ni kwamba hakujawahi kuwa na uwanja wa kisiasa ulio sawa kwa vyama vyote kufanya siasa zake kwa wananchi tangu vyama vingi vianzishwe. Hii ccm si nzuri sana kuliko vyama vingine vya afrika vilivyoleta uhuru na sasa havipo madarakani na vingine vimesambaratika kabisa. Kuongelewa kwa makonda na ccm vijiweni si kwa chanya bali ni kwa hasi. We ukijua A wenzako wanajua B, C. D..., Unachaoandika ni abrakadabra za kisiasa tu na unapaswa kujibiwa kwa mtindo huohuo ulioutumia kuandika
 


Ni kweli Sera zake ni mzuri

Hasa hasa hii ya kuanza kulipa wake za viongozi
 
Hivi haya magazeti unayojaza humu ambayo hayana maudhui zaidi ya kudhihirisha ujinga wako huoni kuwa hiyo ni laana. Yaani 24/7 unapinda mgongo kusifia watu ambao hawana muda na wewe hiyo ni laana.
Kwa akili yako kizibo huwezi ukaelewa kitu chochote. Ni mpaka utakapo pewa tiba stahiki ya matatizo yako ya akili.
 
Ubora wa sera na ajenda za CCM zenye kugusa maisha ya watu na kuleta matokeo chanya imekuwa chachu ya kuifanya CCM Kuendelea kusalia madarakani na kuchaguliwa katika kila uchaguzi kwa kishindo. Vyama vya upinzani kama CHADEMA havina uwezo hata wa kuandaa ilani yake au mgombea urais tu kama tulivyoona 2015,sasa mtanzania yupi mwenye akili Timamu anayeweza kuwapigia kura na kuwaamini upinzani wa nchi hii? Nani awape kura watu wasioweza hata kuwa na sera au ajenda zenye kugusa maisha ya watu?
 
Kama ni maendeleo CCM imepeleka kila Sehemu,ndio maana unaona miradi ikiendelea kuchipuka kila siku na kila mahali.ndio maana Inaendelea kuaminika ,kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.imejenga vyumba vya madarasa zaidi ya elfu ishirini na mwaka huu tena inajenga vingine Elfu moja,vituo vya afya kila kona vimejengwa, miundombinu ya barabara Inaendelea kujengwa na mengine mengi tu
 

Haha ha ha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fedha inazotoa serikali ni kodi za Watanzania wote kwa maana kwamba hata mimi ambaye sijafika Hanang tayari nimeshatoa.

Fedha na misaada waliotoa CCM (ijapo sina hakika km wametoa) ni zile wanazoiba kutoka kwa Watanzania kupitia Serikal ya chama hicho.
 
Ungekuwa na akili timamu usingeandika huu ushuzi!
Hivi makonda ni nani ukilinganisha na makamanda wa CDM?
Historia ya makonda inajulikana wazi mno! Ni suala la muda tu.

RIP Ben
 
Nataka nimpe dili la kuwa msemaji Wa JF
Sio kweli maana huyu boya binafsi ananikera sana kwa uandishi wake kama ni kweli au kama anatumia codes maana aina yake ya kusifu na kuabudu inakera
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…