Scolari Ndenga
JF-Expert Member
- Aug 4, 2008
- 271
- 43
pole kwa kuumwa.vipi! umeshapata discharge?ahaa wameanzae? Naimani wamekuja na tindikali ya kutosha, petrol pamoja na viberiti vya kuwashia nyumba za watu moto, pamoja na karatasi na kalamu za kuandika barua kuwa wanaohusika ni chadema! KAENI MACHO
ahsante sana, bado nipo hospitali naendelea na matibabupole kwa kuumwa.vipi! umeshapata discharge?
ahaa wameanzae? Naimani wamekuja na tindikali ya kutosha, petrol pamoja na viberiti vya kuwashia nyumba za watu moto, pamoja na karatasi na kalamu za kuandika barua kuwa wanaohusika ni chadema! KAENI MACHO
Umenikumbusha Igunga walivyochoma kibanda cha kuku wakachomeka karatasi kwenye majivu imeandikwa sisi ni Chadema, akili za kuazima kabisa.ahaa wameanzae? Naimani wamekuja na tindikali ya kutosha, petrol pamoja na viberiti vya kuwashia nyumba za watu moto, pamoja na karatasi na kalamu za kuandika barua kuwa wanaohusika ni chadema! KAENI MACHO
kwa nini tunapenda kulalamika?mbona hatuwasikii ccm wakilalamikia mbinu zenu?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
kwa nini tunapenda kulalamika?mbona hatuwasikii ccm wakilalamikia mbinu zenu?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Eti mbinu? Bure kabisa
viongozi wa Chadema wanatakiwa watoe elimu kwa wananch wa Arumeru kwenye kila mkutano wanaofanya juu ya huu mchezo mchafu unaofanywaga na ccm,wafanye hivyo haraka iwezekanavyo ili kuwadhibiti ccmkweli kamanda, hawachelewi kusema kuwa wahusika ni chadema
bingwa wa kumtumaini bwana mheshimiwa lowasa anakuja huko kaeni chonjo!jingalao kweli,kwend facebook,hatuna mbinu zozote wewe,2nam2maini bwana.mmeishiwa huko hakuna misikiti.
tatizo viongozi wa chadema muda wote wako kwenye keyboards wakati wenzao wanaumiza vichwa jinsi ya kushinda.viongozi wa Chadema wanatakiwa watoe elimu kwa wananch wa Arumeru kwenye kila mkutano wanaofanya juu ya huu mchezo mchafu unaofanywaga na ccm,wafanye hivyo haraka iwezekanavyo ili kuwadhibiti ccm