Kwa uhakika kabisa sasa Chadema inaonekana kutawala na kuongoza hali ya kisiasa hapa nchini hadi kufikia chama tawala kuomba poo kwa kutumia majeshi ya ulinzi na sasa imeamua wazi waige kila kitu toka Chadema.
Mtakumbuka hivi karibuni Kiongozi na mwenyekiti Makini kabisa Wa Chadema kiboko ya Mafisadi aka kamanda Wa Anga au Bingwa wa Gia za Angani alitangaza kuwa chama kitaanzisha mfumo Wa kadi za kielectronic ili kujua idadi ya wanachama na kusaidia kukusanya mapato kwa uhakika.
Leo CCM nao ktk kikao chao wametangaza kuwa na wao wataanzisha mfumo Wa kadi za kielectronic Kama chadema jamabo ambalo wanaiga kubadili gia Ardhini na huenda ccm wakapotezana ktk mtumbwi walio panda.
Kijana Mbowe amekuwa mbunifu jasiri na mwenye msimamo pia ni MTU mwenye maono ya mbali jambo ambalo amefanikiwa kuhimili na kutawala siasa za hapa nchini hadi kufikia chama tawala kuanza kuiga.
Hivi karibuni Mh. Mbowe alitangaza kuanza kwa opelesheni KATA FUNUA nchi nzima kuhamasisha Utawala wa kidemokrasia na elimu ya uraia.
Kwa sasa yupo katika ziara ya kikazi huko ULAYA na ujumbe wake tunategemea atarudi na mambo mataamu zaidi sisiemu wazee Wa kuiga wasubirie kijana msomi Mbowe ataendelea kuwapa darasa kwa weredi mkubwa ktk siasa.
Kama unaamini kwamba hao ccm ndo wanaiga, pia kwann usisema pia kwamba CHADEMA wao wameiga wapi, kwa hiyo unatuaminisha kwamba vitambulisho vya NIDA na hivi vya kupigia kula vyote wameiga kutoka CDM sio, ebu tujaribu kuw na utulivu wa akili kwa nyakati fulani, bro hii dunia ni kijiji kimoja hayo uloyaandika yanaonyesha jinsi uelewa wako ulivo.Kwa uhakika kabisa sasa Chadema inaonekana kutawala na kuongoza hali ya kisiasa hapa nchini hadi kufikia chama tawala kuomba poo kwa kutumia majeshi ya ulinzi na sasa imeamua wazi waige kila kitu toka Chadema.
Mtakumbuka hivi karibuni Kiongozi na mwenyekiti Makini kabisa Wa Chadema kiboko ya Mafisadi aka kamanda Wa Anga au Bingwa wa Gia za Angani alitangaza kuwa chama kitaanzisha mfumo Wa kadi za kielectronic ili kujua idadi ya wanachama na kusaidia kukusanya mapato kwa uhakika.
Leo CCM nao ktk kikao chao wametangaza kuwa na wao wataanzisha mfumo Wa kadi za kielectronic Kama chadema jamabo ambalo wanaiga kubadili gia Ardhini na huenda ccm wakapotezana ktk mtumbwi walio panda.
Kijana Mbowe amekuwa mbunifu jasiri na mwenye msimamo pia ni MTU mwenye maono ya mbali jambo ambalo amefanikiwa kuhimili na kutawala siasa za hapa nchini hadi kufikia chama tawala kuanza kuiga.
Hivi karibuni Mh. Mbowe alitangaza kuanza kwa opelesheni KATA FUNUA nchi nzima kuhamasisha Utawala wa kidemokrasia na elimu ya uraia.
Kwa sasa yupo katika ziara ya kikazi huko ULAYA na ujumbe wake tunategemea atarudi na mambo mataamu zaidi sisiemu wazee Wa kuiga wasubirie kijana msomi Mbowe ataendelea kuwapa darasa kwa weredi mkubwa ktk siasa.
M4U =magufuli for youUna uhakika CCM ndo wameiga? Kwa taarifa yako, mbowe aliinyaka akairusha mapema hewani kufanya timing kwa vile hakuhitaji vikao viridhie. Kudhihirisha kuwa lile wazo halikuwa lake, ameshindwa hata kuanza kulitekeleza licha ya kulitangaza kitambo.
Nlijua tu atatokea mmoja kama wewe atakayesema kama ulivyosema!Una uhakika CCM ndo wameiga? Kwa taarifa yako, mbowe aliinyaka akairusha mapema hewani kufanya timing kwa vile hakuhitaji vikao viridhie. Kudhihirisha kuwa lile wazo halikuwa lake, ameshindwa hata kuanza kulitekeleza licha ya kulitangaza kitambo.
Mi.nakumbuka ya M4CCCM kuiga ni kawaida sana, hata Operesheni ukuta waliiga wakaviandamanisha vyombo vya dola mwezi mzima
Kwa uhakika kabisa sasa Chadema inaonekana kutawala na kuongoza hali ya kisiasa hapa nchini hadi kufikia chama tawala kuomba poo kwa kutumia majeshi ya ulinzi na sasa imeamua wazi waige kila kitu toka Chadema.
Mtakumbuka hivi karibuni Kiongozi na mwenyekiti Makini kabisa Wa Chadema kiboko ya Mafisadi aka kamanda Wa Anga au Bingwa wa Gia za Angani alitangaza kuwa chama kitaanzisha mfumo Wa kadi za kielectronic ili kujua idadi ya wanachama na kusaidia kukusanya mapato kwa uhakika.
Leo CCM nao ktk kikao chao wametangaza kuwa na wao wataanzisha mfumo Wa kadi za kielectronic Kama chadema jamabo ambalo wanaiga kubadili gia Ardhini na huenda ccm wakapotezana ktk mtumbwi walio panda.
Kijana Mbowe amekuwa mbunifu jasiri na mwenye msimamo pia ni MTU mwenye maono ya mbali jambo ambalo amefanikiwa kuhimili na kutawala siasa za hapa nchini hadi kufikia chama tawala kuanza kuiga.
Hivi karibuni Mh. Mbowe alitangaza kuanza kwa opelesheni KATA FUNUA nchi nzima kuhamasisha Utawala wa kidemokrasia na elimu ya uraia.
Kwa sasa yupo katika ziara ya kikazi huko ULAYA na ujumbe wake tunategemea atarudi na mambo mataamu zaidi sisiemu wazee Wa kuiga wasubirie kijana msomi Mbowe ataendelea kuwapa darasa kwa weredi mkubwa ktk siasa.
Pamoja na kuuza chama kwa mafisadi bado unampigia debe Mbowe??
Bila shaka we ni mchepuko wake si bure
CCM wamekubuhu kwa kupiga chabo darasani, hata M4C mlisema ni Magufuri for change kwahiyo ushahidi tunao ninyi ni mwendo wa kuiga tuuKama unaamini kwamba hao ccm ndo wanaiga, pia kwann usisema pia kwamba CHADEMA wao wameiga wapi, kwa hiyo unatuaminisha kwamba vitambulisho vya NIDA na hivi vya kupigia kula vyote wameiga kutoka CDM sio, ebu tujaribu kuw na utulivu wa akili kwa nyakati fulani, bro hii dunia ni kijiji kimoja hayo uloyaandika yanaonyesha jinsi uelewa wako ulivo.