Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,697
Kwa uhakika kabisa sasa Chadema inaonekana kutawala na kuongoza hali ya kisiasa hapa nchini hadi kufikia chama tawala kuomba poo kwa kutumia majeshi ya ulinzi na sasa imeamua wazi waige kila kitu toka Chadema.
Mtakumbuka hivi karibuni Kiongozi na mwenyekiti Makini kabisa Wa Chadema kiboko ya Mafisadi aka kamanda Wa Anga au Bingwa wa Gia za Angani alitangaza kuwa chama kitaanzisha mfumo Wa kadi za kielectronic ili kujua idadi ya wanachama na kusaidia kukusanya mapato kwa uhakika.
Leo CCM nao ktk kikao chao wametangaza kuwa na wao wataanzisha mfumo Wa kadi za kielectronic Kama chadema jamabo ambalo wanaiga kubadili gia Ardhini na huenda ccm wakapotezana ktk mtumbwi walio panda.
Kijana Mbowe amekuwa mbunifu jasiri na mwenye msimamo pia ni MTU mwenye maono ya mbali jambo ambalo amefanikiwa kuhimili na kutawala siasa za hapa nchini hadi kufikia chama tawala kuanza kuiga.
Hivi karibuni Mh. Mbowe alitangaza kuanza kwa opelesheni KATA FUNUA nchi nzima kuhamasisha Utawala wa kidemokrasia na elimu ya uraia.
Kwa sasa yupo katika ziara ya kikazi huko ULAYA na ujumbe wake tunategemea atarudi na mambo mataamu zaidi sisiemu wazee Wa kuiga wasubirie kijana msomi Mbowe ataendelea kuwapa darasa kwa weredi mkubwa ktk siasa.