We ni muongo hzo picha ni za mkutano wa iringo na hzo nyumba ni za custom...shame upon you
Kuna jamaa Ana hela ya pamba, watoto Wa mjini wanamkomba ki noma kwa kushinikiza Mikutano, kila anaehudhuria analipwa poshoKinachowaumiza ni maguo yao ya rangi ya kijani ,wanaonekana idadi yao hata ukiwa mita mia tano utawahesabu na kujua hamna kitu ,kwa ufupi asievaa guo la kijani sio mwenzao,ndivyo wanavyojiweka.
kwani hiyo ni meza ya Wanyarwanda?Apige upande wa wanannchi iyo ilikua meza kuu mtatokwa povu Sana mwaka huuu
We ni muongo hzo picha ni za mkutano wa iringo na hzo nyumba ni za custom...shame upon you
Pia watangulie gerezaniWaanze kukabidhi majengo ya sirikali kwa vyama vinavyokubalika!!!
Kuna mtu anaitwa katibu Wa wilaya, duh, Ana nishani ya matusi
Haa haa muda c mrefu wataanza kununua watu na kuwasomba kwa malori!