CCM yafuta upinzani Tanzania

CCM yafuta upinzani Tanzania

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,570
Reaction score
16,017
Mpaka kampeni zinaisha sijasikia wala kuona wapambanaji wa CHADEMA au CUF wakitema cheche zaidi ya kumtetea lowasa siyo fisadi. Yaani taasisi za CHADEMA kama;
  1. Bavicha (imekufa na badala yake kuna vijana wa matumaini wanaoshinda kwenye mitandao kuoindisha ukweli huku wanaoiga hela na wale bavicha kukosa meno kabisa.
  2. Baraza la wanawake (hili ndiyo kufa kabisa halima mdee kabaki haamini kilichotokea mpaka sasa)
  3. Makamanda tundu Lisu na akina mnyika wote na akina lema hoi na inawezekana wasirudi bungeni tena maana walisema lowasa fisadi hafai hata kuwa balozi sasa hawasikiki kabisa.

Yaani kwa ufupi safari hii ni kampeni kati ya CCM ya Dr Magufuli na CCM B ya Lowassa, halafu kuna wanaoshangilia kusema mabadiliko kwa Lowassa wakati yule mzee ni mwizi na ndiye mitandao yake imeharibu CCM. Zote hizo Escrow ni zake yeye Lowassa.
 
Karibu tule
 

Attachments

  • 1445484860774.jpg
    1445484860774.jpg
    40 KB · Views: 386
Wahi Mazishi ya CCM Lumbumba 25.10.2015 maana mgonjwa amekata pumzi na hakuna wa kumuokoa!!
 
Kilaaaa kona upo.!
Yaan kila uzi nikipita nakutana na coment zako. Mara kila kona ya dsm gumzo ni magufuli tu. Mara umeenda african cjui wanamuongelea magufuli tu. Mara umeenda hotel aliyolala wanamuongelea magufuli tu, mara sijui nini...

Bado siku 3, naiman matokeo yakitoka na Lowassa akatangazwa mshindi, utahama kabisaaaa hum jf
 
Utajuta tarehe 25 utakapo ona CCm yako ikifia Mbali na yawezekana wapendwa mnaopenda CCm mnamasilahi yenu hapo au wazazi wenu maanake siamini Kama maisha yalivyo toka miaka kumi iliyopita halafu bado mnawataka Hawa CCm? Shame Mna masilahi ?!!!!!!!'nn
 
Back
Top Bottom