KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
CCM ni majambazi. Nikisikia neno CCM napata kichefuchefu na kuona kinyaaa. CCM imepoteza uhalali wa kutawala Tanzania. CCM imeshindwa na imefeli kuleta maendeleo kwa watanzania, bali kimefanikiwa kuzalisha mafisadi na kuwatunza. CCM si chama cha watanzania halisi bali ni chama cha wahuni.
ccm ni majambazi. Nikisikia neno ccm napata kichefuchefu na kuona kinyaaa. Ccm imepoteza uhalali wa kutawala tanzania. Ccm imeshindwa na imefeli kuleta maendeleo kwa watanzania, bali kimefanikiwa kuzalisha mafisadi na kuwatunza. Ccm si chama cha watanzania halisi bali ni chama cha wahuni.
CCM ni majambazi. Nikisikia neno CCM napata kichefuchefu na kuona kinyaaa. CCM imepoteza uhalali wa kutawala Tanzania. CCM imeshindwa na imefeli kuleta maendeleo kwa watanzania, bali kimefanikiwa kuzalisha mafisadi na kuwatunza. CCM si chama cha watanzania halisi bali ni chama cha wahuni.
huyu si ndio alishindwa mambo ya uchumi akawekwa mama zakia? Sasa hapa anaota ndoto
hapa kwetu walituahidi maji na makompyuta kwenye kura za maoni bila shaka huu ni mwk wa nne hamna lolote. halafu wanasema wtatumia nguvu ya mungu huo ni uongo waseme watatumia nguvu ya mabilioni ya Uswis pumbv.....
Ila kwa kusema uwongo na kusahau hamjambo! wale wamasai wanaokufa kwa njaa kule Ngorongoro sio watanzania?
- treni za jiji
- barabara za expres( mabasi ya mwendo kasi
- kurudia mikataba ya madini
- bararbra mikoani
- matrekita kila kijiji
- tunajitoshereza kwa chakula , atujaagiza chakula kutoka nje
- tunalinda amami nchi nyingi
- tumeshinda vita nzuani n.k
Ila kwa kusema uwongo na kusahau hamjambo! wale wamasai wanaokufa kwa njaa kule Ngorongoro sio watanzania?
Ukiwa kwenye "key board" ukiandika propaganda za boss wako Nape hakuna anayekuweza, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa wamasai huko Ngorongoro wanakufs kwa njaa.GHALA LA TAIFA LIMESHEHENI TEMEKE KUNA GHALA SHINYANGA; JE NI REPORT YA WANAKIJIJI AU SERIKALI YA KIJIJI?
VYAKULA VINGINE VIMEHAMISHWA NA JWTZ . Hupo bongo hii au umebaki kuwa Pro
ukiwa kwenye "key board" ukiandika propaganda za boss wako nape hakuna anayekuweza, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa wamasai huko ngorongoro wanakufs kwa njaa.
Nani alifumaniwa na mke wa
gamba mwenzake? Nikumbusheni wana jamvi,ktk watu nawadharau kwenye hii
dunia ni mwigulu,lusinde na nape
Albino watazidi kuuawa.....pm ataishia kulia....wauaji hawatakamatwa....wakikamatwa upelelezi hautakamilika.Siku chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuutangaza mwaka 2013 kama mwaka wa kazi kupitia falsafa ya nguvu ya umma na Movement For Change (M4C), Chama Cha Mapinduzi CCM nacho kimeibuka na kuutangaza mwaka huo kwamba utakuwa wa kazi kwao huku kikisema chenyewe kitatumia falsafa ya Nguvu ya Mungu.
..... CCM kwa kutumia nguvu ya Mungu, alisema.
Chanzo: Nipashe leo
alikuwa huyu huyu chemba, anapenda kuwavua chup wanawake za makada wenzake, kuna siku atapiga hodi kwa ritz....