Watu kama mpangu wako hivyo walivyo kwa kua wako hvyo, nothing happens by chance, kila kitu kilipangwa toka mwanzo,aliepanga alijua kuna watu wasio na akili kama mpanju.
BONGOLALA;
Mbinu za ccm zimekwisha kabisa. Hawana tena uwezo baada ya mipango yao kukwama. Wametumia mpaka mafisi kuwavutia watu, Sasa wanawatumia walemavu, wanawekwa barabarani ati ccm waonekane kuwa wana huruma saana. Mbona kina Matonya mliwafurumua kutoka Darisalama? Mbona mnavunjavunja vibanda vyao visichafue mji wenu msafi wa Darisalama?
Fedha hakika ni jogoo. Mpanju anasimama na Magufuli sijui amemuahidi cheo gani. Natamani nimwambie kuwa, akumbuke wengine waliosifu sana ccm lakini leo hawapo tena kwenye chart ya ccm. Hawana huruma hao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.