The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,909
- 2,889
ubabe kiburi na jeuri ya viongozi wa ccm kuhusu mustakabali wa uchaguz zanzibar vinatishia mustakabali wa mahusiano ya tanzania na washirika wake wa maendeleo kuna fununu kua marekani na uingereza walisusa hata hizo sherehe za mapinduzi tukubali tukatae hakuna nchi inayoendesha uchumi wake kama kisiwa ni kutokana na ukweli huo nawashangaa sana hawa viongozi wanapokuja na hoja za kibabe kwenye mambo ambayo dunia nzima inajua yalivurugwa ndiposa najiuliza hivi ccm hawaoni kuwa wanauweka rehani uchumi wa nchi yetu kwa kuwachokoza washirika wa maendeleo kwa makusudi??