Elections 2010 CCM yaandamwa na u-rangi na ukabila: JE TUTAFIKA?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WANASEMA MSOMALIA



Wanasema MMaLAWI>>>>>>
Sijui wapi wna JF mtanisadia






Sijui Wapi? Iringa? Pakistani?




Sijui wapi hii mtu?




 
what goes around comes around,dhambi ya ubaguzi waliotaka kuipandikiza chadema inawarudi,mungu endelea kutenda maajabu,wauunguze na moto wako hadi hiyo dhambi ya ubaguzi iishe,long live chadema
 
WANASEMA MSOMALIA



Wanasema MMaLAWI>>>>>>
Sijui wapi wna JF mtanisadia







Sijui Wapi? Iringa? Pakistani?




Sijui wapi hii mtu?






Jibu rahisi wote hawa si raia wa Tanzania tena huyu wa mwisho alihusika na udalali wa pori la Loliondo.Wote ni wezi wa fedha na rasiliamali za watanzania
 
Hiyo picha ya Bashe ni baada ya kuvuliwaa uraia na kupokwaa ushindi wake wa kura za maoni ya ubunge kule nzega???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…