maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Haijalishi kwa mema au mabaya ila itakumbukwa sana hasa kwa kuwakanyaga watu
Anaongea kana kwamba ni mtu wa wanyonge lakini anaponda kichwa hao wanyonge kwa maisha magumu waliyonayo sasa.
Ebu fikiria mfuko wa unga wa mahindi wa kilo 25 ni elfu hamsini nani atamudu kununua?
Bado ananunua ndege kubwa mbili ziko njiani kiukweli huyu bwana alikuwa na lake moyoni ndo tunaona sura yake hana huruma hata kidogo. Roho yake sijui aliumbwaje
Mimi nasema kwa kuwa naye atapita kama wenzake atakuwa wa kwanza kwa kuweka alama na chapa tutakayokumbuka migogongoni mwetu.
Wengine tunachubuka sana migongo kwa ajili yake sio tuna makosa ila kwa roho mbaya yake. Hapo ieleweke kwamba anatusulubisha na kodi nyingi huku mafisadi rafiki zake wa ccm wanakula bata na amewahahikikishia usalama
Lakini Mungu amwona ingawa tunasikitika sana kwa uonevu mkubwa na upendeleo kwa watawala wenzake huku akituomba tumuuombee.
Mungu aonaye ya mioyo yetu anayo majibu mazur kwa ajili yake