Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,881
- Tukisema ccm haipo kwa ajili ya mtanzania ndio ukweli kabisa. Kwa sababu miswada ya dharura ndio imetufikisha hapa tulipo namakinikia. Lakini bado wanarudia makosa yaleyale ya kina Mangungo na majuzi hapa wametoka kukashifu waliopita kuwa walikuwa na maslai binafsi.
- Leo Polepole anatoka kumshutumu Lowasa kusema wafuate utawala wa sheria na kama hawana vithibitisho wawaachie watuhumiwa tatizo liko wapi ndio uchochezi?
- Hivi wanaoandamana kuonhezewa muda rais wakijua wanavunja katiba hao sio wachochezii?
- Leo wamepeleka muswada wa dharura tena mitatu lakini polepole hakugusia akiwa na lengo awatoe watanzania kwenye ajenda muhimu juu ya rasilimali zetu na kutupeleka kwenye vioja vya lowasa
- Akija rais mwingine nae atasema tena hao hao wataandamana kumuunga mkono.
- Tunanyimwa elimu makusudi ili watawale zaidi