CCM wazidi kutimkia chadema Mbeya

njooni nyote mnaosumbuka na kuelemewa na mizigo ya ccm nami nitawapumzisha cdm, peopleeeeeeeeeeeeees!
itikia tafadhali!
 
Karibu saana Bi Happiness CDM na wengine waliofunga macho nao waone ukweli wajiunge na chama cha ukombozi wa Mtanzania!!! Wewe ni jasiri kwa hiyo njoo na utaalamu wako wa uchumi kumkomboa nyonge wa Tanzania wakati ukifika CDM ikiwa kwenye madaraka!!!!! VIVA CDM VIVA UKOMBOZI WA MTANZANIA!!!!!

 
Kweli saa ya ukombozi umefika, maana CCM wanapigwa kila kona!!!
 
karibu sana CHADEMA mama huku hakuna matata jisikie upo nyumbani na tuendeleze mapambano mpaka kieleweke
 
Nani anaendesha mikutano mkuu, saaaaaafi!
 
wasije wakawa wamefukuzwa na magamba then wanakimbilia chadema kama sehemun ya kujificha
 
Ni watu muhimu sana hao ila waeleshwe kwanza ITIKADI YA CHADEMA (Utumishi kwa Wanyonge) Nguvu ya Umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…