Whaaaat!!!nimejionea magari kadhaa ya jwtz yakirandaranda huko arumeru.cha kuchekesha wananchi wamekuwa watulivu kuliko ilivyotarajiwa.
Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................
My Take:
Wana arumeru wasitutishe hao, bado tutaendelea kula na tarehe moja tunapiga kura zote kwa mpenda maendeleo nassary, chadema
Wanasema CCM imewaletea maji ya kuwasha wakati ya kunywa hakuna, wameleta magari ya police yenye mabomu ya machozi wakati hospitalini hakuna ambulance....Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................mytake:wana arumeru wasitutishe hao, bado tutaendelea kula na tarehe moja tunapiga kura zote kwa mpenda maendeleo nassary, chadema
hahahahahaa....Ngoja nikapekue nitakuja kukujibuWhaaaat!!!
Jwtz??!
Mkuu hebu tuweke sawa au nchi iko vitani maana juzi nimeona magari zaidi ya 40 ya polisi na magari mawili ya maji ya kuwasha leo tena wanajeshi lazima tutakuwa vitani ila tumefishwa.......au ule ugovyi wetu na kenya umekuwa mkubwa kiasi hicho.....nimejionea magari kadhaa ya jwtz yakirandaranda huko arumeru.cha kuchekesha wananchi wamekuwa watulivu kuliko ilivyotarajiwa.
Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................mytake:wana arumeru wasitutishe hao, bado tutaendelea kula na tarehe moja tunapiga kura zote kwa mpenda maendeleo nassary, chadema
mkuu kuna polisi kutoka pwani na maeneo mbalimbali nchini ispokuwa arusha na moshi.juzi jumamosi kuna magari mawili ya jwtz yameonekana yakirandaranda mtaani.Mkuu hebu tuweke sawa au nchi iko vitani maana juzi nimeona magari zaidi ya 40 ya polisi na magari mawili ya maji ya kuwasha leo tena wanajeshi lazima tutakuwa vitani ila tumefishwa.......au ule ugovyi wetu na kenya umekuwa mkubwa kiasi hicho.....
Ccm wamekuja na jambo lingine huko meru..wanawatisha wanaarumeru kuwa kila aliyepokea chochote kutoka ccm ni lazima awapigie kura tofauti na hapo atadhurika.......................mytake:wana arumeru wasitutishe hao, bado tutaendelea kula na tarehe moja tunapiga kura zote kwa mpenda maendeleo nassary, chadema