CCM waunda Samia Gang kumtetea Rais Samia

Sukuma gang ni kundi la majambazi haswaaa
 
Kizimkazi labda ana gombea urais wa Zanzibar
 
Hao wanaoitwa sukuma gang hawamtetei mtu bali wanasimamia haki za Raia wanyonge wanaokandamizwa na mafisadi na mabeberu.
 
Hao wanaoitwa sukuma gang hawamtetei mtu bali wanasimamia haki za Raia wanyonge wanaokandamizwa na mafisadi na mabeberu.
Umesahau kufanya ujambazi wa rasilimali zetu kama kina Sabaya
 
U may be right, kulikuwa na tetesi wa zenji aje huku na WA huku aende kule,

Bt tunaomba yasitokee, tupate mpya na MAKARATASI yake.
Ccm ni ccm tu hata akifunguliwa kutoka kwenye makaratsi ya khaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…