CCM waunda Samia Gang kumtetea Rais Samia

Umasikini wa fikra na mali husababisha taifa kuwa na siasa za kijingajinga zisizolipeleka taifa kwenye mustakabali mwema.

Siasa nzuri ni zile zinazoweka sera nzuri za kuwanufaisha wananchi wote bila kujali chama au mtu mwenye madaraka kwa wakati huo.

Jina la chama au mtu havina maana yoyote katika uchaguzi kwa watu wenye akili, cha muhimu ni sera inayotekelezwa kwa wakati huo (kama inawanufaisha au la).
 
Mtoa mada huelewe kitu kuhusu maridhiano...

Jiwe ndiye aliyesababisha CCM, Chadema, Wafanyabiashara wakubwa, Wawekezaji...nk kukaa pamoja kuongea na kurekebisha madhila yaliyosababishwa na bwana yule..

Angeendelea kuishi.. Hakuna mwekezaji wa maana angekuja...
Wawekezaji wanaangalia.. Vitu kama siasa.. Uhuru wa Habari, Uhuru wa Mahakama... Mzunguko wa Fedha..
Nk

Huoni sasa hivi kuna tume inaangalia mfumo wa haki jinai Tanzania..
Hii pia ni maridhiano... Kuna watu wapo gerezani mpaka sasa zaidi ya 150 kwa kesi za kisiasa za mwaka 2020

Watu wamebambikwa kesi za mauwaji.. Wapo ndani hasa upinzani.. Lakini kama kweli kuna makundi yanajitokeza kupinga lile kundi la Jiwe mimi sioni tatizo..

Acha waungane.. Bila hivyo angekuwepo bwana yule sijui tungekuwaje..
 
Mtajuana wenyewe "magang ya chama cha mambuzi".
Msoga Gang.
Sukuma Gang.
Samia Gang.
Lumumba Gang.
CCM Gang.

Yote hayo ni magenge ya kihalifu yaliyo chini ya genge kubwa zaidi la kihalifu lililojivika vazi la "chama cha siasa".
Mazao ya haya magenge yanaweza kuwa mbaya zaidi kwa taifa kwa miaka mingi ijayo kama hayakutafutiwa dawa na wenye nchi. Na maika yote hii hayakuwepo, Sasa cha mno ni nini?
 
Anaumia mno! CCM Iko vipande vipande
 
Nimefanya saisa miaka mingi nakuhakikishia binti wewe huwa hakuna maridhiano kati ya wanye njaa (viongozi wa upinzani) wenye shibe ( viongozi wa CCM)

USSR
Siasa za Humu Jamii forum labda uwadanganye wasio na Akili wenzio SUKUM A GANG toka ameondoka Kichaa wenu Akili zimewaruka
 
Sijui kingereza changu kimeshuka siku hizi ila kwà nijuavyo neno gang halina maana nzuri.
 
Eeh haya mapya
Sukuma gang
Samia gang
CCM asilia
CCM maslahi
CCM makinikia
Seriously there are many rivers to cross!
Kweli kabisa,eti kutoka ulaya kuja na hoja ya risasi na mafao!! Nakazia ''seriously there are many rivers to cross!
 
Hivi ni kitu gani kinaendelea kati ya Mboye na saa 10,000??
 
Sijui kingereza changu kimeshuka siku hizi ila kwà nijuavyo neno gang halina maana nzuri.
GANG ni kusanyiko haramu lenye Nia OVU.

Gang haisajiliwi popote sababu ya uharamu wake, ndomana hutowakuta BRELA.

GANG na GROUP ni vitu viwili tofauti.

Mwanzilishi wa Gang hiyo Awamu hii ELIMU yake haizidi kidato Cha nne failure.
 
Hakuna Samia Gang bali kuna Msoga Gang. Hizi ndiyo kambi mbili kubwa ndani ya CCM ila Msoga Gang ndiyo yenye nguvu zaidi na inaendelea kuifutilia mbali Sukuma Gang hadi kufika 2025 itabaki historia tu.
 
Atabakia yeye huyo Mkurya tena mafichoni maana hata kibarua alikuwa anafanya hapa bandarini ashafukuzwa
 
Siasa za Humu Jamii forum labda uwadanganye wasio na Akili wenzio SUKUM A GANG toka ameondoka Kichaa wenu Akili zimewaruka
Nawao sasa wamekuwa vichaa tena vichaa njaaa
 
Hivi Chadema wao waliridhia nini kwa upande wao kwenye hayo maridhiano?
 
Hakuna Samia Gang bali kuna Msoga Gang. Hizi ndiyo kambi mbili kubwa ndani ya CCM ila Msoga Gang ndiyo yenye nguvu zaidi na inaendelea kuifutilia mbali Sukuma Gang hadi kufika 2025 itabaki historia tu.

Kwann isiwe GROUP Badala ya GANG?

Kiongozi Anasimamia anasema "CHAWA wangu".

Hivi mnakosea washauri kabisa?
 
Hakika Samia ni bingwa wa maridhiano alianza kuwatoa masheikh wa uamsho ambao walikamatawa awamu ya 4 na kupewa kesi ya ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…