CCM watumbukiza 10 mil+ uchaguzi MIPANGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM watumbukiza 10 mil+ uchaguzi MIPANGO

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kweleakwelea, May 20, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Wanajamvi...

  kwa yeyote aliye katika jiji la dodoma kwa kipindi cha wiki takribani moja atakuwa anashangaa kuona magari yakirandaranda huku na kule yakipiga mziki mzito PA.....

  baada ya muda utaona vijana wakiwa wamevaa milegezo wakiruka ruka juu ya magari hayo na kuwatangaza wagombea uraisi wa serekali ya wanafunzi MISO....

  ni kipindi ambacho katika bar za maeneo karibu na kampasi za chuo vijana wamekuwa wakikaa na kuunywa bia biola kulipa bili......bili kwa mgombea.....

  hela zimekuwa zikigawiwa hadharani, bila hata ya aibu......

  je yote haya ni kwa ajili ya uongozi wa serekali ya wanafunzi? kuna biashara gani kule??? huu uwekezaji wote wa nini???

  utajiuliza kwanini inabidi kampeni za wanafunzi ziwe na gharama kiasi hicho, na kwanini zinahitaji kamnpenio za hali hiyo utagundua kuwa kuna ujinga wa hali ya juu unaendelea....

  ni kama drama lakini ndio hali halisi, kumbe hata wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu hawatofautiani sana na wale wananchi wa mtaanii...

  wanafunzi wanaruka ruka wakishangilia mziki unapopita mtaani, lakini sijui kama watapiga kura au la.....

  tume ya uchaguzi ambayo ilisimikwa na raisi wa serekali wa awamu iliyopia mwita marwa - mwanafunzi dhaifu ambaye pia ni kiongozi wa CCM kwao Mara ilisemekana kuwekwa madarakani kwa msaada mkubwa wa hali na mali wa CCM na mbunge shabiby....inasemekana kwa takriban 8 milion

  kiongozi huyu akishirikiana na system naye amefanikiwa kusimika tume ya uchaguzi ambayo ilihakikisha kuwa hakuna hata kichwa kimoja kinachofanana na CHADEMA kimepitishwa kugombea uraisi wa serekali hiyo uya wanafunzi....

  akafanikiwa kupitisha wagombea wawili, mmoja mwenye skendo za kufukuzwa fukuzwa vyuo vingine na hata kule urusi, na sasa yuko mipango chini ya uangalizi wa CCM na system yake.....huyu anapendwa kwani atafanyishwa kana remote control...

  mgombea wa pili, aliyepita anasemekana kuwa na kadi mbili...ya CCm na Chadema...huyu alitaka kutumika kama chambo........Kuna data kuwa 10 milion + zimeingizwa kwenye kampeni

  uongozi wa Chadema ulipoona faulo hizo za tume ya uchaguzi, ukaamua kuwa viongozi wake wasijihusishe na kampeni.....kwa namna ya ajabu, mwenyekiti wake na mjumbe mmoja kamati ya uongozi wameonekana kumpigia debe mgombea anayetakiwa na system......

  wanacahadema wamehamaki na leo hii mchana mwamekutana kwa ajili ya maazimio kadhaa

  1. wasifanye vurugu zozote, kwani kilichopo ni mtego

  2. kujua hatma ya viongozi ndumila kuwili

  uchaguzi wa wanafunzi uchukuliwe kuwa kama ni changamoto kwa

  1. kuwajua viongozi ndumila kuwili ili wawekewe tint katika rank zote za chama

  2. kutumia fursa kujenga chama kwani nguvu ya chama ni idadi ya wanachama na si uraisi wa serekali ya wanafunzi.... kwa sasa zaidi ya 90 % ya students ni chadema.....uraisi wa serekali ya wanafunzi si lolote bali ni uchu wa michango ya wanafunzi ambayo ni ufisadi mwingine........

  husein bashe, mzee wa vijicent, ccm mkoa wanatajwa kuhusika na kusponsor event hii. RIz1, membe, wametajwa kugawagawa vijisent pia vyuoni kugroom vikosi vya wahunii waonaotaka madaraka vyuoni kwa namna yeyote!

  hivi karibuni CCm ilitoa takribani 60 milioni kufadhili uchaguzi udom, pia kuahidi wanafunzi kadhaa kupelekwa south africa kula bata ili washinde...lakini haikushinda kwa matarajio yao....

  imesemekana kuna mkakatio uliowekwa chini ya uongozi wa mwenyekiti wa CCM kuhakikisha kuwa wanaccm wanashinda kwenye serekali za wanafunzi....mkakati huu unawahusu pia viongozi wa taasisi hizo........

  my take!

  1. CCM iache kufadhili vikundi vya wahuni wakidai kulea vijana kisiasa mavyuoni

  2. nadhani kuna haja ya kufika mahali jumuiya za kijamii za vyama kama zile za vijana, kinamama, na wazee na zivunjwe na kupisha mabaraza ya vijana, wanawake na wazee kwa ufanisi na tija kwa maendeleo ya taifa.........

  3. kutumbukiza hela kwenye siasa za vyuo si kuchezea rasilimali za taifa? je tunawafundisha nini wasomi wetu?

  4. je sasa kwa sababu vyuo vya elimu ya juu ni sehemu ya asasi zilizo ndani ya jamhuri yetu? ni kwa nini sheria ya GHARAMA ZA UCHAGUZI ISITUMIKE?

  5. je watu wa system na TAKUKURU mnamtumikia nani?


  Assignment

  What is the importance of having kiongozi wa wanafunzi kwa itikadi ya siasa?

  MUNGU IBARIKI TANZANIA

  MUNGU WALAANI WANAOLEA WAHUNI VYUONI

  naomba kuwakilisha.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  For the current time CCM, what a waste of TIME and MEAGRE RESOURCE as there are no rewards in a foreseeable future on suchlike missions to help rejuvinate the now drawning party and her popularity the least!!!!!!!!!!!!
   
 3. M

  Miken Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawawezi kitu kaka,UDOM waliumbuka vibaya,vijana walikunywa bia,wakanunua laptop,wakanunua vidz lakini kama kawaida kile chama ambacho hakihongi bali huchangiwa wakatoa kidedea college zote.Huyo Bashe alimfadhili mdogo wake kugombea na alishindwa vibaya na mdada na sasa rais wa Udom ni mwanamama.Hawa ni size yetu tu!!
   
 4. D

  Duncan Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huko UDOM udini nao umetawala kupita kiasi, viongozi wamechaguliwa kwa kuzingatia dini.
   
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  huyu dogo anaitwa kwagilo , dogo ni garasa la kufa mtu!! naweza kusema kuwa huyu dogo ni vuvuzela fulani hivi alishafukuzwa vyuo vingi hadi kule nchini urusi, naskia aliwatukana maofisa wa ubalozi kule urusi na akawa anamobilise migomo kwa faida zake, yaani huyu dogo ni miyeyusho noma. kweli kazi ipo
   
 6. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dah hii inanikumbusha kampeni za mwaka 2009, huwez amin mgombea hutumia pesa km vile anamilik mashimo ya dhahabu kuja kugundua kumbe kuna mkono wa kigogo mmoja anafadhili na matokeo yake hakuna uongoz uliowah kua mbaya kama wa kipindi kile.
   
Loading...