CCM watavuna nini A-Town

CCM watavuna nini A-Town

Makete Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
531
Reaction score
166
Hivi wadau najiuliza siku kipyenga kinapulizwa A-Town....MAGAMBA watavuna nini jesh hili likitua Arachuga?

227636_10150177623097548_741272547_6978668_1899067_n.jpg
 

Attachments

  • 227636_10150177623092548_741272547_6978667_6670090_n.jpg
    227636_10150177623092548_741272547_6978667_6670090_n.jpg
    71 KB · Views: 59
Naungana na mkuu kongomboli, ni aibu na kusambaratika zaidi. Ni bahati mbaya kwamba hawawezi kusoma alama za nyakati.<BR>Lakini wakuu, haya yote hayanabudi kutokea ili liweze kutimia andiko la haja ya mabadiliko na ukombozi wa m-Tz kutoka katika udhalimu unaomsababishia madhira hayo yote yakiwemo umasikini, maradhi, elimu mbovu, maisha magumu, ufisadi usiovumilika, nk., nk., nk.
 
watavuna 0.005% ya kula huku wakiwa washindi wa 4 mshindi wa pil akiwa TLP na chadema akiongoza kwa ushindi wa 96% ya kura zote
 
WAJIANDAE KWA AIBU NYINGINE NA WATU WAWE TAYARI KUONA AIBU WATAKAYOIPATA 2015. NADHANI HAWAJARIDHIKA NA AIBU WALIYOIPATA MWANZA, ARUMERU, TANGA, MBEYA NA SONGEA. THEY WANT SOME MORE. HIYO NDIO ITAKUWA PICHA HALISI YA UCHAGUZI 2015.:heh:
 
Kwenu WanaA-Town
Sisi wengine tupo nje ya Arusha, lakini tunasuuzika sana kwa yanayotokea Arusha, kama Mkoa tunaona na tunao uhakika kwamba mkoa wa Arusha utakuwa wa kwanza kuwa na wabunge wote wa upinzani kwa kipindi kifupi kijacho ukifuatiwa na Kilimanjaro na halafu Mwanza na shinyanga. Tunawakubali sana makamamanda wetu wanaA-Town kwa uwezo mkubwa wa kupima mambo.
Uwezo Kiongozi unapimwa kwa vile alivyoo jasiri kukabiliana na challenges, Kiongozi wa watu hatarajii urahisi katika kazi yake, Lema ndivyo alivyo, ni Jasiri na msikivu, Habishani pasipo sababu, anatoa hoja zenye nguvu kila anapopata nafasi ya kuongea, kwa kuwa anajua kuwa matatizo ya watu ni yake.
Lema ni Driver sahihi kwa kari analoendesha.
Lema ni mbunge Jasiri, mwenye uwezo mkubwa, anatisha sana akikutana na hawa watawla, wanamuona ni mwiba unaochoma kwa ncha kali inayopenya ndani mno.
Ubunge wake amehifadhiwa kwa muda wa siku tisini kwa vie mafisadi wameona dili sana kufanya chaguzi ndogo ili waendelee kula pesa za umma.
Kila la kheri A-Town
Mbunge wenu yupo pending akingojea kuwaaibisha kwa kishindo.
 
hahaha, mungu wangu mtoa roho kawaandama balaa. kama mgonjwa ni yule anaye karibia kufa
 
Back
Top Bottom