richclassic
Member
- Mar 7, 2014
- 19
- 1
Saizi Ccm wako Meatu wanatangaza mkutano magufuli atakuwa meatu mkoani simiyu kwani watu wameambiwa wakae barabarani centre za vijiji kuna magari yatapita kuwabeba ilikuwaleta meatu mjini.Tutazidi kuwahabarisha kinachoendelea