CCM washikana uchawi musoma

CCM washikana uchawi musoma

MUSUMIFYCOM

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
55
Reaction score
28
Taarifa tulizozipata kutoka kwa waandishi wetu wa habari ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni kwamba wanachama wake wameanza kushikana uchawi kwa sababu CHADEMA inafanya mikutano kila wiki na kupata watu wengi kupita kiasi,hii imewasababisha CCM kuanza kukimbiana na kurushiana mpira,na mbunge wa jimbo hilo ameahidi kuwa harudi bunge la katiba na kila sku atakua anaongea na wana mara,kuwaeleza matatizo yanayosababishwa na Chama Cha Mapinduzi
 
Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
 
Huu ni mwanzo wa kutimia kwa unabii wa Kakobe. Endelea kuangalia, utaona tu!.

Taarifa tulizozipata kutoka kwa waandishi wetu wa habari ndani ya chama cha mapinduzi ni kwamba wanachama wake wameanza kushikana uchawi kwa sababu chadema inafanya mikutano kila wiki na kupata watu wengi kupita kiasi,hii imewasababisha ccm kuanza kukimbiana na kurushiana mpira,na mbunge wa jimbo hilo ameahidi kuwa harudi bunge la katiba na kila sku atakua anaongea na wana mara,kuwaeleza matatizo yanayosababishwa na chama cha mapinduzi,
 
Sasa Kwa Namna Hii CCM Watapona kweli hapa ni Maumivu tu kwa CCM
 

Attachments

  • pic.jpg
    pic.jpg
    33.7 KB · Views: 256
  • chadema3.jpg
    chadema3.jpg
    92 KB · Views: 280
  • chadema4.jpg
    chadema4.jpg
    70 KB · Views: 257
  • Thanks
Reactions: Gor
CCM hata ikifa poa tu.Sio issue tena ya town
 
MSALANI, IFWEERO, RITZ, FAIZA FOXY bila kumsahau kilaza Chabruma...NJOONI MTETEE LICHAMA LENI LA MAGAMBA LILILOKUFA..NJOOni haraka!
 
MSALANI, IFWEERO, RITZ, FAIZA FOXY bila kumsahau kilaza Chabruma...NJOONI MTETEE LICHAMA LENI LA MAGAMBA LILILOKUFA..NJOOni haraka!



MSALANI, ifweero, Ritz, faiza
Fox bila kumsahau kilaza
Chabruma...NJOONI MTETEE
LICHAMA LENU LA MAGAMBA
LILILOKUFA..NJOONI haraka!

Hapo watakuja sasa ila hawawezi kusema lolote! Watachungulia tu! teh teh teh teee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom