CCM wasaidieni Bongo movie

JB ni muigizaji mzuri sana ila toka avunje amri ya 11, sina hamu ya kumtazama tena!

Naunga na wewe mkuu Jb ndo alikuwa muigizaji bora aliyebakia lakini ccm wamemwaribia kabisa
 
We nani kakuweka uwe msemaji wa bongo muvi kwani??
Bongo muvi ni indastri inajiendesha yenyewe wala hatuhitaji utupigie debe.
Inajiendesha wakati imeshakufa kuna marehemu anayetembeaga?
 
Aunt Ezekiel kumbe walienda kwenye utalii marekani na Nyalandu duh bongo movies imejaa makahaba kama alivyosema Nay wa mitego.
 
JB ni muigizaji mzuri sana ila toka avunje amri ya 11, sina hamu ya kumtazama tena!

Daah! Asante mkuu kwa kutukumbusha amri ya 11. Nayo inasema hivi:-"Usiwe CCM"
 
Hawa bongo muvi ambao huku mtaani kwetu wanaitwa "Bongo Nyuchi", walipovunja amri ya 11 kule Mbeya niliwaona tena pale Dodoma kwenye tamasha la Uzalendo. Tangia hapo wamekuwa kama toilet paper iliyotumika. Loo! Chama cha mikosi (ccm).
 
Mimi niliposoma kichwa cha habari yako hii, nilifikiri unawaomba CCM wawasaidie Bongo Muvi kwa kuwapeleka kule Amboni kwa kipindi hiki ku act Action Movie pamoja na yale magari ya kivita yaliyopo kule, maana hiyo movie ingetoka sana. na sisi waigizaji wetu wangeingia katika Hollywood. Kama si hivyo, hakuna tena msaada watakaoweza kuutoa hapo
 
Bei inashuka lini. Ili wafe kabisa maana wengi hawakujijenga kimaisha. Na zile movie zao za watu watatu. Na zile Gari za kuazima. Na ile laana ya dhuluma. Daaah sipati Picha ili anguko .zaidi ya lile LA marlaw na nakaya
 
UKAWA kwa kujifariji hamjambo... ni lini ccm imewatumia Bongo Movie wakiwa kwenye chat?

Bongo Movie hawahawa waliofulia toka Kanumba aondoke na tasnia nzima ya filamu ndo mnaowaongelea au kuna Bongo Movie wengine wapya waliovuma na kudondosha na Siasa za Ccm?

Naona kiwanda chetu cha Kinondoni kinazidi kuzalisha Bidhaa Bora kabisa.
 
Wakefie mbali huko eti movie inaitwa without your love am blind afu eti ninunue elfu 5 wapeleke upuuzi huko labda wauze 400
 

Watatumika kama toilet paper
 

kuna msanii aliimba kuwa bongo muvi ni danguro! halafu shida ya hizo muvi huwez angalia na familia pamoja, huwa wanaboa sana uvaaji na scene za mapenz yaani aibu huwa naona mimi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…