Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Toka mlipo watumia mwaka Jana kule mbeya kwenye sherehe zenu, Bongo move Wamepoteana hawathaminiki tena kwa watanzanzania ,nanyi mmeonyesha kuwatenga baada ya kuisha thamani , mwaka huu songea mmemtumia Diamond na kuwaacha wao. Ccm hawa bongo move ni vijana wetu.
wapi Johari, wapi nyerere, wapi Jb, OPLA, Wastala,Wapi Bongo move?
Nishaacha kununua kazi zao kwa ajili ya familia, wataona kwenye tv tu
Hukumsikia Kikwete alisema CCM sio chama cha usanii Diamond na Komba wanatosha wengine wanajisumbua tu.Toka mlipo watumia mwaka Jana kule mbeya kwenye sherehe zenu, Bongo move Wamepoteana hawathaminiki tena kwa watanzanzania ,nanyi mmeonyesha kuwatenga baada ya kuisha thamani , mwaka huu songea mmemtumia Diamond na kuwaacha wao. Ccm hawa bongo move ni vijana wetu.
wapi Johari, wapi nyerere, wapi Jb, OPLA, Wastala,Wapi Bongo move?
hivi bado wanatoa muvie kwan? au zimebaki stori huyu katoka na yule, mwingne kapga pcha za uch.i, huyu kafumaniwa!!
Toka mlipo watumia mwaka Jana kule mbeya kwenye sherehe zenu, Bongo move Wamepoteana hawathaminiki tena kwa watanzanzania ,nanyi mmeonyesha kuwatenga baada ya kuisha thamani , mwaka huu songea mmemtumia Diamond na kuwaacha wao. CCM hawa bongo move ni vijana wetu.
wapi Johari, wapi nyerere, wapi Jb, OPLA, Wastala,Wapi Bongo move?
IndustryWe nani kakuweka uwe msemaji wa bongo muvi kwani??
Bongo muvi ni indastri inajiendesha yenyewe wala hatuhitaji utupigie debe.
Hukumsikia Kikwete alisema CCM sio chama cha usanii Diamond na Komba wanatosha wengine wanajisumbua tu.
Si ndo hao akina aunt Ezekiel wanatumiwa kama vivutio vya ndani vya utalii na akina Nyalandu kama viburudisho! Akina Cheni na Steve Nyerere wamekuwa makuwadi na madalali wa akina Lulu kwa akina Komba!
Bongo movie imekuwa Danguro kama madanguro mengine tu!