Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
Uko sahihi kabisa, maana ieleweke hata Magamba wana itikadi ya Kuua inzi kwa Bomu!Watu hawataenda kuwasikiliza, hakuna cha kufunika hapo!
Kuhusu kukaza buti nakuunga mkono kwani usimuamini nyati eti amelala chini yakuwa amekubali kuchinjwa, chapa risasi ya kichwa kwanza ndio ukamalizie. Hata kama adui yako ni dhaifu kama mjusi, mpige gobole huyo mjusi ili uonyeshe ulimaanisha vita kikweli kweli.
daudi mchambuz kifo cha cdm ni 2015,wenzenu cuf tayari,subirhn mtanambia,upinzan hapa bongo bado,cku upinzan ukifka vijijini basi tutaanza kuzungumza,wapga kura weng wako huko,hata we mwenyewe n kpga mdomo tu hata kadi ya kupgia kura huna,mtatokaje?

Watu hawataenda kuwasikiliza, hakuna cha kufunika hapo!